Zillim Digital ni jumuiya ya wamiliki wa biashara na viongozi wanaoingiza AI kwenye biashara zao na mifumo ya masoko. Tunakufundisha mfumo halisi โ si maneno ya kificho.
Unasikia "tumia AI" kila siku โ lakini ukifika kwenye biashara yako, hujui pa kuanzia. Unajaribu tool moja leo, nyingine kesho, hakuna mfumo. Matokeo: muda unapotea, content inafanana na ya kila mtu, na biashara haikui.
Hatuuzi tool. Tunakufundisha mfumo wa kuingiza AI kwenye biashara yako: kuanzia kuunda AI assistant inayoelewa biashara yako, kutengeneza content kwa mfumo, mpaka kufunga mauzo kwenye DM. Kila kitu kwa lugha unayoielewa, na mifano halisi ya soko la Tanzania.
Tunakufundisha namna ya kufikiri na AI โ mfumo unaobaki hata tools zikibadilika.
Masterclass na maudhui ya hatua kwa hatua, si nadharia tu.
70+ wamiliki wa biashara na viongozi mnaojifunza pamoja.
Unataka AI ikusaidie kuuza zaidi bila kuongeza wafanyakazi wengi.
Unataka content na mauzo viende kwa mfumo, si kubahatisha kila siku.
Unataka kuongoza timu na biashara yako kuingia kwenye enzi ya AI.
Mahali pamoja pa kujifunza, kupata mifumo, templates, na kuuliza maswali. Pamoja na 70+ partners wanaofanya hivyo hivyo.
Mfumo kamili: kuunda AI assistant inayoelewa biashara yako, kutengeneza content kwa mfumo, na kufunga mauzo. Imejengwa kwa mifano halisi ya soko la Tanzania.
Acha kubahatisha na tools. Jiunge na jumuiya inayokufundisha mfumo halisi.